SIO MDANGAJI

 

Ceccy leo amefunguka sana , kwamba maisha yake ya dubai sio mdangaji na yeye ni Model na analipwa.

Nilimuacha Lukamba sababu Ya Mambo Ya Kifamilia Ambayo Yalikuwa nje ya uwezo wangu Maisha yake yalikuwa ya kawaida hakuwa anaweza kumudu expenses zangu sababu nimemzidi Kipato.

Niko tayar kuingia ktk ndoa na mtu sahihi 

Maoni

  1. Kwahiyo anamtaka mwanaume mwenye kipato kikubwa zaidi yake??

    JibuFuta
  2. Dada diva nahitaji mwanamke mwenye kuniheshimu kujiheshimu pia na mwenye upendo wadhati

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu