MBOSSO NA BABALEVO VITANI
Mbosso ameamua jana kuvunja ukimya kwa kuomba Babalevo aonywe sababu amekuwa akimfatafata na Maneno sana ameongezea leo hii hata akikusoa Mungu ambariki sana zaid ya hapo amechukizwa sana
na vitendo vya babalevo
Chanzo ni babalevo kudai anaomba Mashairi na Melodi za Wimbo wa Pawa zirudishwe sehemu husika



asnte
JibuFuta