USIJE UKADHUBUTU KURUDI KWA EX MWENYE SUMU
Hi my loves blogging is fun tell you inakupa uhuru wa kuandaa na kuandika kwa sisi waandishi wa habari ni sawa na mtu anaependa ulevi ngumu kuacha,
Today I want to speak to you from my heart baada ya jana dada mmoja kuni dm na kuniomba ushauri alikuwa anasema anahisi kufa hawezi ishi bila ex wake ingawa jamaa ni toxic hatari , something many of you have faced bahati nzuri sijawahi taman ex aisee Mungu aniepushie mbali natema na mate , najua the temptation of going back to that toxic ex huwa inawakuta wale wasiojiamini girl you deserve better buana , yan kuna ile illusion wakati simu yako inawaka usiku wa manane na ujumbe wa “I miss you” au ghafla mtu anajitokeza akijifanya “amebadilika.” For a second, moyo wako unasema labda this time will be different. But truth is unajidanganya , binadamu bwana hawabadiliki kaa nao mbali kabisa mbingu na ardhi , going back is like drinking poison and hoping it heals you.
The Illusion of Change / Udanganyifu wa Mabadiliko
Toxic exes come with apologies, sweet words, even flowers 🌹 – lakini mara nyingi ni temporary effort. Unless there is consistent action and true transformation, utaishia pale pale: maumivu yale yale, drama ile ile.
Trauma Bonding / Kifungo cha Maumivu
Psychologists call it trauma bonding. Hii ni ile hali unajikuta unashikamana na mtu aliyekudhuru, kwa sababu ya mizunguko ya maumivu na msamaha. It tricks your mind into thinking it’s love, lakini kiukweli ni addiction to chaos.
What You Lose / Unachopoteza Ukirudi
- Peace of mind / Amani ya moyo – unakosa utulivu, unaishi kwenye drama.
- Self-respect / Heshima yako – kila ukirudi, unaonyesha mipaka yako inaweza kuvukwa.
- Future blessings / Baraka zako za baadaye – unafunga nafasi ya kupata mtu sahihi kwa kushikilia mtu asiye sahihi.
Self-Love is Power / Kujipenda ni Nguvu
Loving yourself means saying NO to recycled heartbreaks. Kujipenda siyo tu spa days na selfies – it’s about protecting your soul from pain. Remember, you deserve real love, not half-love.
Never ever go back to the toxic ex. Funga mlango huo, usiangalie nyuma. Yaliyopita ni somo, siyo makazi. Your future deserves better than your past mistakes.
Wewe ni wa thamani, unastahili kupendwa kikamilifu – no compromise.




Maoni
Chapisha Maoni